[go: up one dir, main page]

Ruka kwenda kwenye maudhui makuu

Safu ya 2

Mitandao ya Ethereum

Tumia Ethereum kwa sehemu ya gharama yote.

Inaendeshwa na Ethereum

Ethereum sio mtandao mmoja tu tena. Ikiwa na mamia ya mifumo iliyojengwa juu yake, Ethereum imekuwa ya gharama nafuu zaidi, ya kasi na inapatikana kwa ajili ya matumizi ya kila siku.

Jiandalie siku zijazo kwa kujiunga mojawapo ya mitandao mingi inayoendeshwa na Ethereum!

Mwanamume na mbwa wanaocheza

$0.01

Gharama wastani ya muamala kwenye mfumo wa Ethereum

$0.003

Gharama wastani ya miamala kwenye mitandao inayoendeshwa na Ethereum

Mtandao wa mitandao

Uwezo na usalama wa Ethereum hutoa jukwaa la kujengea mitandao mingine. Ukiwa na akaunti moja, kila kitu kinaendana na kuunganishwa kwa urahisi.

Starknet
Unichain
Scroll
Zircuit
ZKSync Era
Ink
Linea
Optimism
Base
Ethereum

Ada za $0.01

Unaweza kufanya biashara, kutuma pesa kote duniani, au kutumia programu bila wasiwasi kuhusu gharama kubwa.

Miamala ya papo hapo

Iwe unafanya malipo ya haraka au kushiriki katika miamala ya fedha iliyogatuliwa (DeFi), miamala yote huchukua sekunde chache tu.

Inaungwa mkono na Ethereum

Mfumo wa Ethereum uliothibitishwa na uliogatuliwa hutumika kama safu ya kujengea mitandao mingine mpya.

Uko tayari kuanza?

Angalia mitandao yote tofauti ambayo inapatikana kwa ajili yako.

Chunguza mitandao
Ink

Ink

Ink ni mnyororo wa bloku wa safu ya 2 ya Ethereum OP Stack ulioundwa kuwa nyumba ya DeFi kwa ajili ya Superchain; safu ya msingi yenye nguvu kwa ajili ya kupeleka itifaki bunifu za DeFi.

Optimism

Optimism

OP Mainnet ni Optimistic Rollup inayolingana na EVM. Lengo lake ni kuwa wa haraka, rahisi na salama.

Base

Base

Base ni Optimistic Rollup iliyojengwa na OP Stack. Inatoa njia ya gharama nafuu na rafiki kwa watengenezaji kwa mtu yeyote, popote, kujenga kwenye mfumo.

Ethereum

Inaendeshwa na Ethereum

Walking

Kwa nini tunahitaji mitandao mbalimbali kwenye Ethereum?

Kwa nini kuna mitandao yote hii wala sio mtandao mmoja tu wa Ethereum?

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara