BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Iran yasema inapendelea mazungumzo, lakini iko tayari kwa vita pia
Mpatanishi mkuu wa upande wa Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, ameeleza katika mahojiano na televisheni ya taifa ya nchi hiyo kuwa Tehran haitaacha kujilinda iwapo mazungumzo na Marekani hayatatoa matokeo.
Njia 4 nadra ambazo mwanamke anaweza kupata ujauzito
Isipokuwa iwapo umeruka darasa la elimu ya ngono, labda una ufahamu wa kimsingi jinsi watoto wanavyoumbwa.
Je, mvutano umeibuka kati ya Iran na Oman kuhusu Mlango-Bahari wa Hormuz?
Mnamo Juni 23 Oman ilitangaza kuwa imeunda ukanda wa baharini wa muda kwa meli zinazojaribu kuvuka Mlango-Bahari wa Hormuz, kwa ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Bahari.
Nyota 10 wa soka ambao huenda wanacheza Kombe la Dunia kwa mara ya mwisho
Wachezaji soka bora zaidi duniani huenda wanacheza Kombe lao la Dunia la mwisho. Hivi ndivyo .livyowaorodhesha kulingana na ufanisi wao.
Njia tano ambazo wanaume wanaweza kutumia kuboresha uzazi wao
Upangaji uzazi ni muhimu kwa afya ya mama na mtoto, hasa katika kupunguza hatari ya matatizo yanayoweza kutokana na mimba zinazofuatana kwa karibu au kujifungua kabla ya wakati, huku pia ukiwezesha familia kuhakikisha ustawi bora wa watoto wao.
Kwa nini nchi hii hujikuta kitovu cha vita mara kwa mara?
Makombora yanaporushwa kutoka kusini mwa Lebanon yanaweza kufika katika miji ya kaskazini mwa Israel ndani ya dakika chache. Na Israel inapojibu kwa mashambulizi ya anga au ya ardhini, Lebanon haina maeneo ya ndani yaliyo mbali vya kutosha kutoa usalama.
Afrika inavyotamba na makocha wazawa Kombe la Dunia 2026
Kombe la Dunia la FIFA la 2026 linaloendelea linaonyesha mapinduzi haya waziwazi, kukiwa na makocha saba waliozaliwa Afrika au wa asili ya mataifa ya Afrika. Wakionesha uzoefu wao kimataifa, mbinu na uelewa wa soka.
Tetesi Ulaya: Sano, Bouaddi wazigonganisha City, United, Liverpool na Arsenal
PSG yaweka bei ya Barcola, Chelsea yamtaka Kroupi, huku Bouaddi akiwindwa na vigogo wa Ulaya.
Maandamano makubwa kupinga wahamiaji haramu yafanyika Afrika Kusini
Maafisa wa polisi wamesambazwa kote Afrika Kusini kutokana na hofu kwamba maandamano yanayopinga uhamiaji yanaweza kugeuka kuwa ya vurugu.
Nini huzuia wanawake wengi kutofika kileleni?
Sababu nyingine inayochochea wanawake kutofika kileleni wanapokuwa na wenzi wao ni ugumu wa kuzungumza na uwazi kuhusu wanachokipenda wakati wanashiriki ngono.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Sikiza / Tazama
Huwezi kusikiliza tena
End of Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Zijue nchi 10 wauzaji wakubwa wa silaha duniani
Huku mivutano ya kijiografia ikiongeza duniani na kusababisha vita na migogoro, mahitaji ya vifaa vya kijeshi, kupitia biashara ya silaha, yanazidi kuongezeka katika ulimwengu.
Je, Tanzania inajenga makazi bora kwa nani?
"Hivi kweli mwananchi wa kipato cha chini hapo umewasaidiaje? NHC leteni miradi ya nyumba za kawaida za milioni 30 au 50. Mikopo ya nyumba iwe miaka 25 au 30," Vanessa Stafford aliandika kwenye ukurasa wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Je, unaamka saa nane au tisa usiku na kushindwa kulala tena?
Watu wengi wanafikiri kuwa msongo wa mawazo ndio chanzo. Wengine wanahusisha hali na sababu mbaya za kiafya. Hata hivyo, kuamka nyakati hizo kunaweza kuwa ishara ya matatizo mbalimbali.
Mataifa 10 yenye amani zaidi barani Afrika 2026
Huku sehemu za bara zikiendelea kukabiliana na ugaidi, uasi, na ukosefu wa utulivu wa kisiasa, nchi kadhaa zimedumisha viwango vya juu vya amani na usalama.
'Tulipoingia ndani ya bunge la Kenya tulifyatuliwa risasi'
''Vijana Afrika Mashariki hatutakubali kunyamazishwa na viongozi ambao hawana nia ya kuheshimu katiba na demokrasia, viongozi wa Afrika Mashariki wajue hilo'', Ezekiel ambaye ni mwanaharakati Kenya aiambia BBC.
Makubaliano ya Iran na Marekani: Kwa nini nchi za Ghuba ya Uajemi bado zina wasiwasi?
Nchi za Kiarabu za Ghuba, ambazo ziko katikati ya mivutano kati ya Washington na Tehran, zinafuatilia kwa wasiwasi mkubwa maendeleo haya. Ikiwa mivutano itazidi tena, huenda ndizo nchi zitakazobeba mzigo mkubwa zaidi wa madhara.
Je, ndege ya Trump ya hali ya juu ina uwezo gani?
Airforce One: Rais wa Marekani Donald Trump ameitembelea ndege mpya ya rais, aliyokabidhiwa na Qatar mwaka mmoja uliopita, akiielezea kama "ndege ya kifahari zaidi duniani."
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Mambo 5 yanayosababisha wenza kutoelewana
Ukosefu wa imani na kuaminiana katika uhusiano, ambao unaweza kufanya kuishi pamoja kuwa na migogoro au wasiwasi, na hatimaye unaweza kusababisha kutengana.
Iran haiko tayari kuiacha Hezbollah nje ya makubaliano yake na Marekani, Kwa nini?
Baada ya maelezo ya makubaliano ya maelewano kati ya Iran na Marekani kuchapishwa, imebainika kwamba Lebanon ilichukua nafasi muhimu katika maandishi na vipengele vya makubaliano hayo.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Mambo muhimu 14 waliyokubaliana Iran na Marekani
Makubaliano ya Marekani na Iran ya kuongeza muda wa usitishaji mapigano kati ya nchi hizo mbili yamesainiwa na sasa yameanza kutekelezwa, afisa mmoja kutoka ikulu ta White House ameiambia BBC.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 2 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 1 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 1 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 30 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani



